Recent content by Njiwa mpole 1997

  1. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Tanzania tupo nyuma ya Kenya kimaendeleo

    Tatizo kubwa kwa bongo mfano magari ni Ushuru mkubwa kutoka TRA.Kuhusu apartments hilo Galina ubishi sisi tumekulia kwenye hizi siasa za Ujamaa na kujitegemea kuishi kwenye apartment ni ubeberu huo. Kuhusu Supermarkets kuwa nyingi huko ,nadhani Wenzetu wanauhaba wa ardhi ,ardhi yote yenye rutuba...
  2. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Memory

    Pole Sana, Muombe Mungu atakua mfariji wako.
  3. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Umesahau SGR imepita hapo
  4. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Since I start using English as official language in my social platforms I feel more confident and energetic

    Hapa kachemka lakini so amejitetea kua ndo anajifunza
  5. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Since I start using English as official language in my social platforms I feel more confident and energetic

    English language is everything in the world so, keep learning bro.
  6. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Since I start using English as official language in my social platforms I feel more confident and energetic

    Ulisha sikia nilotic wanatoka india au uarabuni ww bado no mwafrika tu .
  7. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

    Upo mfia miungu ya mwarabu huko mascut.
  8. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

    We ulikua mwanafunzi usinge jua hayo.
  9. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

    JF kwa sasa imeekua ya hovyo kama makada wa Ccm.Mtu anasimulia kilicho mtokea we unapinga wakati hukuwepo huo ni upumbavu mkuuuu.
  10. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa bodaboda wazee, kijana unajifunza nini?

    Kama alianza na miaka michache nyuma unataka aache?
  11. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Bonge la chai hakuna ukweli hapa
  12. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Ni nini naweza kutumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu?

    Muulizie jamaa mmoja yupo huko Twitter anaitwa khalfa au #that boy naye ananywele Kama zako ,atakupa ushauri wa kujiamini.
Back
Top Bottom