Recent content by njige nzela

  1. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli tata ya W/M, mtu mmoja auawa kwa risasi za polisi

    tujulishe mgodi gani? na ilikuwaje?
  2. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Dr Kitila Mkumbo amwanika Mwigulu Nchemba

    si hapo igunga ktk uchaguzi mdogo kijana wao rafiki yangu walimwagia tindikali na kujidai kuwa cdm ndo ilihusika, akazini na mke wa mtu ana roho chafu kama mkaa.ccm inamfia mikononi mwake
  3. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Polisi yatishia kuzuia mkutatano wa CDM igunga

    mkuu wa wilaya ni threat wa demokrasia igunga
  4. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Polisi yatishia kuzuia mkutatano wa CDM igunga

    ktk hali ya kustaajabsha tofauti na ilivozoeleka mikutano mingi ya kuifanyka ktk viwanja vya sokoine, polisi imekuwa ikivutana na viongozi wa chadema wilaya ikidai mkutano huo utakaoongozwa na mh.kasulumbayi kutofanyika viwanja ivo kutokana na hofu ya kuwepo kwa vurugu,polisi inadai taarfa za...
  5. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    :mvutaji: BAADA YA TUNU HII KWA DR, KAFUMU HAYA NI YA KWANGU KWA WANA IGUNGA; Kwa wale wanaofuatilia kwa ukaribu siasa ya tanzania na igunga kwa ujumla wataungana na mimi kuwa siasa ni watu na mtu hawezi kukuchagulia watu, siasa huendesha maisha yetu ya kila siku kwa ujumla siasa inagusa...
  6. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    BAADA YA TUNU HII KWA DR, KAFUMU HAYA NI YA KWANGU KWA WANA IGUNGA; Kwa wale wanaofuatilia kwa ukaribu siasa ya tanzania na igunga kwa ujumla wataungana na mimi kuwa siasa ni watu na mtu hawezi kukuchagulia watu, siasa huendesha maisha yetu ya kila siku kwa ujumla siasa inagusa maslahi...
  7. njige nzela

    JamiiForums Tanzania Zitto, Lissu, Mnyika Walinusuru Bunge

    Endeleeni kupambana makamanda tunahali mbaya kijamii
Back
Top Bottom