Nimezungumza kwa kirefu sana na mgombea wetu mzee Mkinga.
Ni hivi.
Fomu zote zilijazwa kwa uangalifu mkubwa sana.hakuna fomu iliyokosea. Fomu zote zilipelekwa kwa mkurugenzi na akasaini.
Wakati wa kubandika fomu za wagombea mkurugenzi aliiacha fomu no .10( fomu ya maadili) ya mgombea wetu huku...
Binafsi naona NCCR na Chadema baada ya Uchaguzi mkuu kuna hata uwezekano wa kuungana na kuwa chama kikuu kimoja cha upinzani. Hawa CUF ni donda ndungu tujuavyo hawa jamaa wa visiwani wana visirani vyao vya asili na katu hawatakuwa tayari kuunganisha nguvu kwa sababu wanatanguliza masilani...
CUF CCM B twawachia na mihemuko yao ya uroho, wanatanguliza masilahi binafsi badala ya hitaji la sasa la kuikomboa Tanzania. CUF wabaki huko huko visiwani na watauona moto wa UKAWA huko Lindi na Mtwara wanakojivunia
Wamisionari na makanisa wanaojenga vinu vya umeme na kusambaza vijijini, kujenga mashule na mahospitali, tunajua kazi yao ni kuhubiri dini si kufanya shughuli za maendelea ambazo zinatakiwa kufanywa na serikali.
Hao unawachukuliaje?
Shs 15,000 hata hazitoshi kupata bati moja la kuezekea, angalia mwenzake Filikujombe pichanai apeleka mabati ya kutosheleza kuezeka shule.
Ukiwa mtumishi wa watu fanya yale wanayotazamia unaowatumikia.
Ukiwa mwanasiasa unatakiwa uache ubahili. Tatizo la huyu mama ni ubahili. Huo mradi wa maji sio wake ni jitihada za Mbunge Filikunjome kuisukuma serikali na ushirikiano wa karibu na Jimbo katoliki Njombe linalofanya shughuli nyingi za maendeleo ya jamii Mkoa wa Njombe.
Pindi alienda hapo kwa...
Kati ya ngoma za kiasili Tanzania, ngoma hii nimeshawahi kuiona inahitaji umahiri na mzoezi ya viungo pia kama ilivyo michezo ya mpira nk. Pia kuna ufundi si ngoma ya kurukaruka kila mtu, ina ufundi na mafunzo maalum. Ukweli inavutia sana. Kuna ngoma ya Lizombe huko kwa wangoni nayo inahitaji...
Find Your Country
Get rates, SMS coverage, and Call Me Free Information for your country.
Tanzania Landline 23.5¢ / min Mobile 24.5¢ / min SMS
Kenya Landline 4¢ / min Mobile 4¢ / min SMS
Uganda Landline 9¢ / min Mobile 25¢ / min SMS
Rwanda Landline 27.5¢ / min Mobile undefined SMS
Burundi...
Find Your CountryGet rates, SMS coverage, and Call Me Free Information for your country.
TanzaniaLandline
23.5¢ / min
Mobile
24.5¢ / min
SMS
+ x
KenyaLandline
4¢ / min
Mobile
4¢ / min
SMS
+ x
UgandaLandline
9¢ / min
Mobile
25¢ / min
SMS
+ x
RwandaLandline
27.5¢...
Sina mazoea ya kupanda Daladala Dar, kuna siku nimetumia usafiri huu jijini Dar, sikuwa na jinsi kusubiria gari lenye nafasi maana yote yalionekana kujaa nikaamua nifuate wenye mazoea kushikilia bomba mwendo mrefu na hatukuwa wengi kiasi cha kufanyiana mambo ya kipuuzi.
Mbele yangu alisimama...
Binafsi namshangaa sana kova alivyotoka povu jingi kumtetea mtuhumiwa wa ufuska na pia mtuhumiwa wa kusambaza maambukizi ya ukimwi. Angekuwa kiongozi kutoka chama cha upinzania angetuma jeshi lake kuvamia usina na silaha zenye ncha kali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.