Nasikitika kuona kuwa mtu pekee anayeunganisha waafrika weusi na waafrika wenye asili ya kiarabu anaondolewa madarakani! Huyu ndiyo kiongozi wa kiarabu pekee ambaye ameweza kuchangamana na waafrika weusi. Sijasikia kiongozi wa Algeria, Tunisia au Morocco akijichanganya, kutembelea au kusaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.