Recent content by njawib

  1. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua nguruwe toka Morogoro kupeleka Dar-es-Salaam

    Habari wana jamii nina mtaji wa m2 nataka kufanya ununuzi wa nguruwe toka Moro to Dar kuchinja kwa ajiri ya biashara vp ushauri, hapo italipa?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bima ya afya ya haraka

    Hiyo bima unalipia kiasi gani na kwamda gani mkuu fafanua
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku update window 8.1

    Habar zenu waungwana naombeni elim jins ya kuupdate window 8.1
  4. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Hii too much. Ishakua hatar hii
  5. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Daaaaj hatar ndugu nina dogo and yuko form two alitokea la 6 so wanahtaj namba nmechanganyikiwa cjui namsaidiaje mtoto
  6. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Duuh !! Ko imeanza mwaka hu hiyo ??
  7. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Yuko vzur sana ndugu so nauliza kama possible maana inawezekana namba ya darasa la saba inahtajika
  8. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kusoma sekondari bila kumaliza darasa la saba?

    Msaada jaman hivi inawezekana mtoto akasoma elimu ya sekondari bila kumaliza elimu ya msing kama anajiweza kwa private school ??
Back
Top Bottom