Recent content by Njaa

  1. Njaa

    JamiiForums Tanzania Pata PC games za kutosha kabisa

    Naomba gemu za watoto za ps3 please boys, age 11 up to 15
  2. Njaa

    JamiiForums Tanzania Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

    Hata mimi nashangaa sana, mbona wanahama kutoka kwenye traditional color zao? Kijani na njano is no more!
  3. Njaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    Unamaanisha spices na masala?
  4. Njaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    Njoo DM mwanajamvi
  5. Njaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    DM if interested Papaa
  6. Njaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    Benki wanataka running business, sio business idea, nimejaribu pia
  7. Njaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    DM Please...., tutaongea
  8. Njaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner (only serious person)

    Hello Wanajamvi…… Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya gesi. Vitu vifuatavyo tayari ninavyo (angalia picha…) Frem ya kisasa Leseni ya biashara Mashine ya...
  9. Njaa

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Mtego huo
  10. Njaa

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    How? Funguka kidogo
  11. Njaa

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Nasubiria somo mkuu....!
  12. Njaa

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Yes, nipo Dar mkuu! Niunganishe nao
  13. Njaa

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Nikutumie DM? Ingia DM
  14. Njaa

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Sawa, unahisi nimedownload picha? Nakutumia zenye neno Jamii forum tena kwa wino wa peni muda si mrefu..., DM
  15. Njaa

    JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
Back
Top Bottom