Hapa kazi tu uatake usitake kazi tu. Mlizoea maisha ya ujanja ujanja kujipa mihela hovyohvyo.
Na bado tunaendwlea kuwabana zaidi mwaka 2020 hatutahangaika na kampen cye, mtajinadi wenyewe na ikuku tunaenda kama kawa kama kdawa
Pole na ujue mungu anamakusudi na wewe!! Kama ni mkristo unasubir nn kuanzisha kanisa???? Endelea kukabidh maisha yako kwake utokapo na uingiapo!! Mungu anawezaaaaaaa!! Hata wasio amin basi waonapo ujumbe huuu waliamini jina la yesu! Asanteni sana wana jf mungu awabark kila mmojabkwq mahtaji...
Basi ni jambo jema kikubwa uzma!!! Uzima!!
Kila sehemu gan pa bar mie nko shant hapa mbona joto liko juu kukikobkawaida au uko maeno ya sango/kibororoni??? Ok poa kesho ntakuwa nairobi lakn haitanizuia kuchangia hoja zenye mashiko!! Mara tu napo ziona kwenye page ya jf!! Nasena hv today is...
Mm ni mkongwe mdogo wangu zaod ya iaka na miaka!!!! Tatzo unataka kanza kuhoji wakat watu wamepoteza maisha kwan ukisema wapimumzke kwa aman unapungukiwa nn mwenzetu?????
Ok i think you hav nothing then cool down!!! Wacha watu watoe pole kuliko kutuletea hesabu zako za ajabu ajabua hapa, inawezekana unajifunza kujukisha wewe c bure!!!
Hujitambua aiseee!!! Kwan lori lilikuwa linajiendesha?? Kwan kwenye lori hakuna mtu anaitwa otingo yaaan mbeba mizigo???? Kwan kwenye lori kuna seat ngap mbele???? Kama kuna seat zaid ya moja, je unaweza kunambia walikuwemo watu wangap??? Kama huwez kunambia kwann usifyate domo lako down...
Acha shobo wew kwan hujui kama magar ni mawili!! Kwan kwenyevlori hawakuwemo watu??? Kama walikuwemo kwann unapiga mahesabu yako bila hata forfigure hv umesomea wapi?? Mwalimu wako wa maarifa alikuwa nan?? Na ulipata ngapi somo hilo??? Je kufikiri kabla ya kutenda kuna mhusu nan??? Kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.