Wasiwasi wetu ndio huo ,je kwa mienendo ya viongozi wetu je jeshi letu litakuwa na uadilifu,morali na hali ya kupambania watu wake,nchi,,na jiran zetu kama miaka ya nyuma
Habari ndugu wana jamvi,
Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine.
Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao.
Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.