Recent content by Nitakuja

  1. Nitakuja

    Naomba uzoefu kwa wanaoijua kambi ya JKT Mlale

    Kule ni kupiga kazi za watu mkubwa jiandae kulijenga taifa!
  2. Nitakuja

    Usaidizi kwa tuliomaliza vyuo vya Ualimu kama tunaenda JKT

    Jiandae tu ndugu maana mwaka Jana walienda mwezi wa tisa!
  3. Nitakuja

    Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    Nenda na sababu za msingi utasikilizwa!
  4. Nitakuja

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Hapa chenga tu hadi sasa tuko stand ya mabasi mgomo Kama kawa
  5. Nitakuja

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Niko Bukoba stand mwendo ni uleule MGOMO wa madereva!
  6. Nitakuja

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Majina ya mafundi sanifu yamewekwa tembelea tamisemi ukacheki
  7. Nitakuja

    Ajira za ualimu zimetolewa tena rasmi

    Ya mzigo upo tembelea tamisemi
  8. Nitakuja

    Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

    Nimefuatilia list ya walimu walio ajiriwa mwaka Jana kutoka chuo hicho SEKUCO (SEKOMU) nimeona majina ni yaleyale yamejirudia kwenye list ya walimu walio ajiriwa mwaka huu kwahiyo kuweni na subira kwa marekebisho!
  9. Nitakuja

    Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Ajali kila kukicha hadi naogopa kufungua simu yangu kwani nikifungua tu taarifa ya ninayokutana nayo ni ajali Mungu tunusuru na hili balaa!!!!!!
Back
Top Bottom