Recent content by Nisa

  1. N

    Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Ndugu yangu unacheza midundo ya muziki ya kidunia unasema unamsifu Bwana. Hebu fikiria Yesu angecheza nanyi. Dhamiri itakushuhudia. Yaani Yesu, Petro, Yohana, Paulo, leo warudi watacheza nyimbo za rose mhando?
  2. N

    Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Kwani kahukumu au kauliza ukweli. Yesu alivowaambia waandishi na mafarisayo aliwahukumu. Ukisoma nyaraka za mtume Paulo anaonya uovo kwa wakorintho, warumi, waefeso nk. Je anawahukumu au anakemea dhambi. Acha kupotosha
  3. N

    Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Yaani unajiona unajua neno kuliko Kakobe, hauna tofauti na mhando. Yeye anasema ni mtumishi wa Mungu. Biblia inasema mtawatambua kwa matunda yao. Tunahitaji watumishi wa kumwambia Herode si halali kuwa na mke wa nduguyo. Usitake kanis.a likengeuke. Katubu
  4. N

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Pole sana, wakina Petro, Paulo, Yohana historia zao unazijua. Soma biblia na tafuta kweli utajua. Watumishi wa kweli hawapigwi bao na wanadamu. Hawa huwekwa na Mungu mwenyewe, na anawatumia atakavo yeye.'
  5. N

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    WEWE utakuwa mdini sana, mwongo zaidi ya yule professor. Mrema hajawahi kugombea na Mwinyi. Mrema kwa mara ya kwanza alipambana na Mkapa 1995. Acha kudanganya humu. Kama hakumsupport Mkapa akawa upande wa Mrema ana udini gani wakati hao wote ni wakristo. Yeye anasimama upande wa Mungu. Haangalii...
  6. N

    Hivi Tanzania kuna ma-engineer au mafundi repair?

    Kuwa muelewa kuweka hiyo miundombinu inataka fedha nyingi na ni kwa muda mrefu. Sera za nchi yetu siyo rafiki na hilo. Fikiria maabara za shule ni issue. Sasa uwaambie waanzishe kituo cha research and engineering products development utakuwa unaota ukiwa macho. Waambie waimarishe ccm, aah hapo...
  7. N

    Hivi Tanzania kuna ma-engineer au mafundi repair?

    Pole kwa uelewa wako mdogo. Tatizo ni miundombinu ya hapa kwetu. Ukitaka kuunda kitu hapa gharama za uzalishaji zitafanya hiyo kitu isipate soko. Bei inaweza fika mara kumi ya kugiza kitu namna ile ile toka nchi zilizoendelea. Miundimbinu yao inarahisisha uzalishaji. Umeme rahisi, usafirishaji...
  8. N

    Katika Ulimwengu huu - Haki za binadamu ni za wakristo pekee?

    watoto na wanawake wanatumiwa na magaidi kama ngao kwa mfano hamas wanapoenda na silaha za kivita kwenye shule za UN, lengo lao wasipigwe kwa kisingizio cha uwepo wa watoto wakati wao wanashambulia Israel. Nani atakubali ujinga huo. Hivo watoto na wanawake wanatolewa muhanga na magaidi ili dunia...
  9. N

    Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

    Mkuu niliwahi kuota sana hiyo ndoto kuanzia 2007, baada ya hapo mimepita kwenye maisha magumu sana kiuchumi, kijamii sasa nategemea msaada wa Mungu tu. Naamini manlelly amesema tafsiri sahihi
  10. N

    Msaada: Nimetumiwa ujumbe kwenye simu yangu kutoka Access Bank kwa ajili ya Interview

    Piga 0715270803, ni namba ya boss ambaye atakujuza ukweli. Yuko generous. Muulize kama kuna hiyo event. Good luck.
  11. N

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Sasa tatizo liko wapi Mkono kasema moja amemuuzia(prado) moja kamkodisha (Nissan patrol). Zitto anasema ana freelander na carina. Huoni nyuma ya pazia.
  12. N

    Jamii inatafisri vipi yanayotokea CDM

    Mkuu nidhamu itatoka wapi bila kufanya hivo. Watu wenye uchu wa madaraka na tamaa binafsi dawa ni kusafisha. Tunafanyaje magugu shambani? Tuyaache yakue na mazao? Hapana tunang'oa.
  13. N

    Chadema kusambaratika?!

    kweli akili ndogo mtu anakimbilia mahakamani unasema ana wafuasi wengi? Hakuna mgogoro cdm ni huu uchafu tunataka safisha. Yaani boss wako na wewe
  14. N

    Where can i refine gold in Tanzania?

    Salama mkuu, Iam a private gold refiner based in Dar. For details pm me via nisalile@yahoo.com Regards. Nisa
Back
Top Bottom