Wakuu habari za mida hii..
Asee nafikiria namna ya kuwa na savings account lakini ambayo itakuwa ni dollar account..
In the sense that..visenti vyangu ntavyokuwa navpata naviweka kwa hyo dollar saving account baada ya kuvibadlsha kupitia Bureau de change..
Nan anafaham bank nzur ambayo haina...
Man achana na hyo nyara asee...Hyo pain unapata unastahili kuipata ili ukomae kisawasawa ...
but trust me, itapita with time mpaka kuna kipindi utakuwa unajicheka kwann ulikuwa unaumiza kichwa kwa huyo mtu.
Umri wako ni umri mzur tuu.. najua hapo unawaza umepoteza mda kinyama na hyo nyara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.