mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
ccm tushawajua tabia zao sabab washaonja keki ya nchi Kwa nyadhifa kubwa ya uchama tawala ila huko kwingine naogopa sabab hawajaikamata bado keki ya nchi na pia nachoogopa Zaidi wanasalitiana wao Kwa wao na wengine kuwasalitinhadi kufikia kuwa machawa wa chama tawala na kupewa nyazfa ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.