Recent content by ninosi

  1. ninosi

    Kama Vipers wangekuwa na Manzoki na Bobosi, kwa Mkapa leo kungekuwa hakutoshi

    Vipi na Simba angekuwepo Miksoni, Lwanga na MK 14 yule wa moto ingekuwaje?
  2. ninosi

    Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Mkuu Tanzania Prisons ni timu inayomilikiwa na SERIKALI tofauti na Toto Africa au Singida Big Stars. Huyo GSM ana uwezo wa kuihonga SERIKALI?
  3. ninosi

    Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Leo hakuna cha droo, mmoja lazima aage mashindano. Mmoja huyo ni Yanga Sc.
  4. ninosi

    Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Yanga mawazo yao yote yapo mechi ya week ijayo katika michuano ya loosers. Hivyo leo tegemea kuwaona kina Ambundo, Mauya, Farid n.k ambao mbele ya kina Asukile ambao hawana cha kupoteza lazima watwangwe VIRUNGU tu.
  5. ninosi

    Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Mkuu hii Yanga ambayo mpaka kipa afanye makosa ndo ishinde una imani nayo? REFERENCE: Mechi dhidi ya KMC.
  6. ninosi

    Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:- Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu yenu kuna majeruhi yoyote? Msemaji: Benjamini Asukile yupo salama.. Pia wachezaji wenzake wote wako...
  7. ninosi

    Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

    Inasikitisha sana.
  8. ninosi

    Simba wanapaswa kufungua masikio yao pindi wanapoambiwa udhaifu wao kama waambiwavyo kuhusu ubora wao

    ".. So jitahidi uwe unapanga hoja.. At least weka wazo zima kwenye stanza moja.. Usiwe unaruka ruka kama paka mgonjwa .." - Dizasta Vina
  9. ninosi

    Achana na rekodi ya 'Unbeatean', Wanayanga hii rekodi pia 'Tuishi Nayo'

    Kipindi cha mpito kimeisha.. Tunaanza upya kuhesabu.
  10. ninosi

    Kila nikiandika kuhusu Triple C nafuta ... Ila hili limenishinda

    Hakuna timu duniani haijawahi kufungwa nyumbani.
  11. ninosi

    Kila nikiandika kuhusu Triple C nafuta ... Ila hili limenishinda

    mzee wa bwaksi chukua maji hayo upunguze machungu.. USHALIPIWA.
  12. ninosi

    Kila nikiandika kuhusu Triple C nafuta ... Ila hili limenishinda

    Lini sasa? Alafu kimataifa ipi unaizungumzia? Hii ya loser au ile ya mabingwa?
Back
Top Bottom