Recent content by Ninja 1

  1. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    Hamna mkuu unakuta wengine masikio yanachomoza kupita kiasi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    Mkuu nielezee kidogo basi kuhusu iyo hospitali
  3. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    surgery ambayo hufanywa kurekebisha muonekano wa masikio
  4. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    Je otoplasty surgery inafanyika Tanzania? Kama ndio, ni hospitali gani na kiasi gani cha fedha? kwa yeyote anayefaham tujuzane. Nawasilisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    asante sana mkuu??
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    asante sana mkuu! mwenyezi akuzidishie
  7. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    asante mkuu!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    amna! kazi za hapa na pale tu za factory
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    sio sababu mkuu kuna wengi tu nimewazidi urefu wanapiga kazi ndan umo ..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    kuna factory moja jirani apa mkuu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    mkuu sio kama ni mfupi kivile, nna medium height ila ndo ivyo naonekana dogo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwili mdogo unavyonitesa

    Mimi ni kijana ninayekaribia miaka 20 sasa lakini kutokana na kuwa na mwili mdogo, naonekana kama mtoto wa miaka 16 na mara nyingi nimekuwa nikikataliwa ninapoenda kuomba kazi, inaniuma sana ..
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    haijajulikana bado lakini alitangaza nia ya kumchallenge JPM
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    mchango wako mkuu! we unadhan ni uhuru gan
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, former minister of foreign affairs BENARD MEMBE, alizungumza na kituo cha habari cha BBC news na kuweka wazi nia yake ya kutaka kugombea urais kwa tiketi ya kusema kuwa anadai uhuru .. sasa swali ni je, uhuru gani anaodai mzee wetu benard membe ...
Back
Top Bottom