Recent content by Ninaniniyule

  1. Ninaniniyule

    KIGOMA: Shaka avipongeza vyama vya Siasa kuambatana na Rais katika ziara yake

    Kwani wamewahi kuwa nazo hizo mia mbovu?
  2. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

    Mzeeee wa decoy uchwara. Angekuwa U.S kashindwa ungejidai wameshindwa Ila kwa Russia na Decoy. Mtabadili maneno mpaka basi ila.hamtoboi. Judgement day ni lini tena Sheeh
  3. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Hawajachukua Crimea bado Sana. Swali kwako ULe msafara wa kwenda Kiev ulifikia wapi ?
  4. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Kuna mwamba huko juu ukimuuliza atakwambia ni decoy.
  5. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Kuna panga'nga'a huko juu kasema ilikuwa decoy.
  6. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Wewe hujaenda jeshini Wala nn.ni mjinga mjinga upo kwenye kijiwe chini ya nguzo ya umeme.mnadanganyana eeeeh ile kwenda Kiev ni decoy. Mkifurumushwa kheson na mariuopol tutakuuliza tena utasema decoy ya ushuzi. Lala upewe chai,ukapige umbea kijiweni tena
  7. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Umesahau hoja ya ushoga. Au mwalimu wenu kasema usitumie tena
  8. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Case ya us na Vietcong ni sawa kabisa na Ukraine na Russsiakimba. Huwezi kuvamia nchi ya watu ukidai et unakuja kuwatetea sijui.wataungana na kukufurumusha kwa aibu na hasara. Mpuuzi putooo ni fala wa Karne ya sasa.
  9. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Wanataka washinde kwanza ndo wapewe habari mbaya
  10. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Asante kwa mipasho.kama ningekuuliza hili swali 29/2/ basi hii insha ungechambia mwenyewe muda huuu mnafirimbwa huko mmeanza kubadili maneno. Mlifata nn Kiev? Kutest zali eeeh !.
  11. Ninaniniyule

    Idadi ya raia wa Urusi wanaondoka Crimea yazidi kupaa

    Warusi , Pro Russian na mapimbi wengine hawaamini yanayowakuta. Wanafirimbwa huko ss wanabadili scope tu ya vita vya mchongo
  12. Ninaniniyule

    Idadi ya raia wa Urusi wanaondoka Crimea yazidi kupaa

    Sawa sawa. Mlianza mara siku Tatu, mara hii ni operation ya kibwengo, mara judgement Day, Leo mdogo mdogo. Labda iingie nyumbani kwako.
  13. Ninaniniyule

    Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

    Huu ni mwezi wa sita mlisema mtaichukua Kiev ndani ya siku Tatu.
  14. Ninaniniyule

    Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

    Umebadili GIA angani. Mwanzo uliamini inawezekana leo umekuwa pang'ang'a.
Back
Top Bottom