Recent content by nimno

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

    Naomba unifahamishe mkuu raisi wa Iran huwa anapatikana kidemocras au kwa mfumo upi
  2. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Basi mimi nipo kigoma nilijaribu mpaka leo ni mwanachama wa act wazalendo lakini sikielewi hichi chama changu kinasimamia kitu gani
  3. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Mbona hujasema unahitaji vijana wa aina gani na wenye elimu gani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Kiongozi kwani unauhakika sio nape mwenyewe huyu?
  5. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Tunakusudia kutwaa Jimbo la Chato uchaguzi wa 2025. Tumewahi shinda vijiji vingi kuliko CCM na Magufuli akiwepo

    Wataingia kwenye uchaguzi pasipo na katiba yenye tume huru ?
  6. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

    Apo kila chama kinaangalia maslahi yake hawapo kwa maslahi ya uma wala taifa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Nnchi zetu za africa viongozi huwa hawataki kuwajibika kwa wenzetu kukosekana kwa huduma ya intanet uwajibikaji ungekuwepo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Mimi naommba kufahamishwa nafasi ya mwenyekiti wa bawacha taifa iliishajazwa au bado?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vita ya Lissu na Halima Mdee inaonyesha dhahiri kichwa cha Halima kiko CHADEMA ila tumbo ndio liko CCM

    Mdee ni magdalena sakaya ajae tanzania
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Lissu: Aliyeuza Bandari ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika na aache kumsingizia Rais Samia!

    Kuuliza sio ujinga mikataba si huwa inaanzia ikulu?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Kutongoza kuna matokeo mawili kukubaliwa na kukataliwa pia kwaiyo unapomtongoza mwanamke nenda na hayo mambo mawili hutokuja kujutia mitongozo
  12. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

    Kwaiyo mlienda kumuona ili kumziba mdomo asiseme hata kama anayoongea ni ya kweli?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Kwamba simba mpaka sasa tatizo lao ni kocha? Maana katika hii misimu mitatu kama sijakosea tayari makocha watakuwa sita au saba na huyo atakuwa wa nane
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Nafikili mtoa mada atakuwa amepata jibu kuwa ni watanganyika ndio wako nyumba ya lissu kutokana na comment zilizotolewa na wachanfiaji
Back
Top Bottom