Habari ya uzima, wandugu,
Nina uhitaji wa fundi mzuri wa piano , kwa yeyote ambaye anafahamu fundi mzuri wa piano popote pale Dar es salaam , tafadhali naomba nielekeze anapopatikana na kushare pia mawasiliano yake.
Asante kwa ushirikiano.
Wakuu,
Naomba kujua kama kuna mtu ambaye anajua options zingine zaidi ya hizi ambazo zimekuwa shared hapo juu. Naomba share shule yoyote unayoijua inayotumia project based learning or hands on activities iwe ni ya NECTA, Cambridge au curricullum yoyote nyingine.
Asante
wakuu , kuna yeyote anejua shule zaidi ambazo zinafuata mtaala wa NECTA , na hazina mambo ya remedial kwa darasa la 4 na la 7? Tafadhali naomba kujuzwa. asante sana
wakuu , kuna yeyeote anejua shule zaidi ambazo zinafuata mtaala wa NECTA , na hazina mambo ya remedial kwa darasa la 4 na la 7? Tafadhali naomba kujuzwa. asante sana
Habari wajumbe,
Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.