Recent content by NIMEONA

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwe makini; kuna sabuni zinapoteza nguvu za kiume!!

    Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta. Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k Kwa wale waliozoea ubishi basi sawa endeleeni.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

    Hatuna kazi mkuu, tupotupo ndo tatizo lilipoanzia.
  3. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Nyumbu mkiwa mmeshiba chipweng'e huwa mnakuwa na mawazo ya kinazi sana!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    🤣🤣🤣🤣 haya, pamoja!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    🤣🤣🤣 Yamekuwa hayo tena mkuu?!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Anaweza kuwa sahihi kwa upande fulani; nafikiri yuko kiroho zaidi na anamaanisha dunia ni darasa as kuna meeengi ya kujifunza kwa kila aliye hai. Kwahiyo basi, wote waliopo juu ya huu uso wa dunia ni classmates!!!! Mwamba yuko vema kwa hili.....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Hiyo ni habari nyingine mkuu na nafikiri unafanya kosa kubwa kulizungumzia hilo kwa kulaumu. Sidhani kama kuna chochote unakijua kuhusu mahusiano yao na historia yao kiasi cha kufikia kuingiliana kiasi hicho. Shukuru Mungu kama umejitosheleza kwa kila kitu. Hoja ni mauaji hayo ya kikatili, au...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Hivi una akili wewe?!!!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maana na sifa za maeneo ya kiutawala!

    Pamoja mkuu, tusubiri tuelewe ili tuachane na mazoea
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maana na sifa za maeneo ya kiutawala!

    Naulizia vitu hivi hapa wakuu; 1. Halmashauri ya wilaya 2. Halmashauri ya manispaa 3. Halmashauri ya mji 4. Halmashauri ya jiji 5. Maana ya 'halmashauri' Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu, lengo lao wakuone umekasirika tu kama hivyo na si vinginevyo..........hujang'amua tu hili?!!!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nadharia: Maji tunayokunywa ni mikojo ya Dinosauri

    Siku moja mkuu toa mada ya hoja hii, napenda kufuatilia habari hizi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Amerudi, alitoka kidogo kwenda kumtafuta baba yake aliyemtelekeza ambaye ni mwalimu bila ya mafanikio hivyo amerudi na hasira zote.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Inawezekanaje mkuu na wapi imewahi kutokea?!!!
Back
Top Bottom