Habari,
Nina swali naomba mnisaidie, je Expert kwenye maeneo ya kazi ni kina nani?
Sheria inasemaje kuhusu expert /foreigners?
Nafasi ya watanzania au ulinzi wa ajira za watanzania ukoje?
Nikipata jibu naiweka wazi kampuni sitaki kukurupuka.
matunzo jamani .....na sio wote ...upate pesa ya kutosha/kawaida amani ndani ya ndoa .....yaani no stress au stress za kawaida unafikifiri utazeeka........!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.