Recent content by Nikukumbushe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

    Sumaye anaeleweka kwa wenye akili za kufikiria nje ya boksi! Hawezi kumwelewa,kwa nini,kwa sababu,kasoma uchumi chuo kikuu,bado haielewi kwa nini Tz ni maskini,Kawa rais kwa miaka 10 bado hajui kwa nini Tz ni maskini. Hawezi kumwelewa Sumaye
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kukubalika kwa Lowassa: Pesa, Ujinga, Upumbavu au kuichukia CCM?

    Kuichukia CCM,no more no less.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Anataka aitwe kuwa unataka cheo gani kama sio shilingi ngapi. Hafai,nilkuwa namuona mzalendo kumbe mchumia tumbo kama akina Nape ,Paul Makonda,Zitto kabwe,Hamad Rashid,Arf said,Shibuda nk
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

    Mmepanic,UKAWA wanaingia Ikulu,lazima mnyee debe awamu hii
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tamko la NEC mwisho watu 7 kurudisha fomu

    Ccm wamepanic
  6. N

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Lukuvi na Magufuli umeanza lini?

    Hata mimii nimeshangaa. Unafiki mtupu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Haya sasa kwenu wale 11 waliosemwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Mzee kingungwe alisema patachimbika,mbona kimya
  9. N

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Cc pasco
  10. N

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Yaani yeye mafisadi hatawagusa hata kidogo kwa kuwa anaogopa nchi kutikisika. Issue ya mafisadi wamuachie Dr slaa ndio anawezea mambo haya.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Pinda hana uwezo wa kutafakari akibanwa ndio maana matokeo yake ni kuropoka tu kauli zinazogharimu maisha ya watz kinyume na katiba. Piga tu,liwalo na liwe moja ya kauli zake uliona na unaona madhara yake.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Kwa sura yake ile alitakuwa kuwa mtu mwenye misimamo nk. Sura yake haitendei haki kabisa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Hakuna msafi CCM
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Lowasa ni ovyo kabisa mkuu.
Back
Top Bottom