Recent content by Nikola24

  1. Nikola24

    Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Ahsante Tho Tuo. Point yako ina utani mkali😆😆 Anyway hua siongei mambo ya Siri,just imagine fantasy ambazo Zinani burudisha.
  2. Nikola24

    Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Kumbe? Nilizani Nina tatizo. Umewahi kushuhudia mtu anaongea pekee yake?
  3. Nikola24

    Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Aisee Ma Genius wapo hivyo? Maana ni kama nagombana na akili yangu mwenyewe!
  4. Nikola24

    Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Hahah dah pole ndugu. Sasa mimi Kuna kipindi nakasirika nikiwa najipigisha stori...mara nafoka au hata kupiga kitu. Nashindwa kuji control dah
  5. Nikola24

    Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Kwa sauti? Na unaweza kuji control? Maana mimi kuongea pekee yangu ni masaa 24 bila kuacha.
  6. Nikola24

    Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa! Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically. Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii. Sasa je hii ni kawaida...
  7. Nikola24

    Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Kumbuka binadamu tuna ERRORS Katika kusema na kitenda. Mfano huyo Mke wa watu amefurahi kukuona na kukosea ku respond kiheshima.
  8. Nikola24

    Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Kuwa billionera! Nakutania...nataka niwe na pesa nzuri
  9. Nikola24

    Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Ahsante kwa ushauri. Hiyo 3000 ni kama malipo ila kula na kulala hakuna shida. Napata vyote.
  10. Nikola24

    Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi. Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto. Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi. Sasa...
  11. Nikola24

    Hatimaye yule aliyekuwa akihubiri kwamba Yesu sio Mungu amenena wazi leo kuwa Yesu ni BWANA!

    Dada kumbuka Kuna biblia nyingine za uongo! Shetani anaandama hadi kitabu chenyewe. Sio Kila biblia ni takatifu nyingine Zina andikwa kupotosha wakristo. Je wewe ni dhehebu lipi la kikristo? Nataka kuona mafundisho yenu
Back
Top Bottom