Namm nashangaa haya mambo, watanzania tuwe na tabia ya kuwa na subira kwenye mambo mbalimbali , kuhusu hili sakata mpaka sasa hakuna taarifa rasmi, yanga wako kimya , azam wako kimya na Feisal pia yuko kimya, tunaoleta updates kila wakat ni sisi wapiga mdomo wa vijiweni , nilimuuliza mleta mada...