Recent content by nightwalker

  1. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Daah😁😁😁
  2. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Warusi ni hatari dingii
  3. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    🤣🤣🤣
  4. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Kwamba licha ya ujasusi wao haukuwasaidia kufurukuta mbele ya maashetani wekundu
  5. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Unauwakika gani kama Abramovic nae sio jasusi wakirusi?
  6. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Unamkumbuka Andrew Arshavin?! Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani ya klabu ya Arsenal. Lakini duru za kijasusi ulimwenguni zinamtambua kama jasusi kutoka katika Shirika la Ujasusi la Urusi, Federal Security Service (FSB) akitekeleza "mission"...
  7. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Tanga: Yaliyojiri Kwenye mazishi ya Ally Mohamed Kibao, Kiongozi wa Chadema aliyeuawa kikatili

    Watu sasaiv hawana imani na serikali
  8. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Tanga: Yaliyojiri Kwenye mazishi ya Ally Mohamed Kibao, Kiongozi wa Chadema aliyeuawa kikatili

    Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO.ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh Muhammad Ali Albuhri. Baba yake mkubwa ALI MOHAMED KIBAO ni Hemed bin Jumaa bin Hemed ambaye amewahi Kuhudumu kama Mufti Mkuu wa Tanzania. Msiba huu ni...
  9. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Je yanayo tokea sasa yanachochea chuki katika jamii?

    Kuna haja ya kuliombea taifa
  10. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Je yanayo tokea sasa yanachochea chuki katika jamii?

    Je mwisho wa haya yote ni nini?
  11. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Je yanayo tokea sasa yanachochea chuki katika jamii?

    CHUKI NI NINI? Chuki ni ile hali ya mtu kuwa na muitikio mkali hasi kwa mtu/watu fulani au mawazo ambayo kwa kawaida uhusiana na upinzani mkali uliopitiliza. AINA ZA CHUKI 1. CHUKI KWA UJUMLA (GENERAL HATE) Aina hii ya chuki huweza sababishwa kwa tishio, uwoga, kuathirika, kutoaminiana au...
  12. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

    Vibongo vingine vina roho mbaya tu apo ata hakiwadai fidia laki 5 hawana vitabaki kulialia tu
  13. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

    Ngoja tuone na hizo drama zao
  14. nightwalker

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Ata Mbwa mimi ndo napo shangaa
Back
Top Bottom