Recent content by nigastm

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu Mawasliano +255767630088
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari, Naitwa Nigast ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza fanyia kazi. Tunaweza wasiliana muda wowote kwa namba 0786168340. Ahsante
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  4. N

  5. N

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    hapana bado sijapata
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    bado sijapata
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    ni makubaliano ndugu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Uber) mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 napatikana dar es salaam Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt little, paisha. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0743974343
Back
Top Bottom