katika kuchangia mawazo mafundi wenzangu,uelekeo wa nilesat 7w kwa dish la ft 6 na hiyo nilesat ikiwa ni prime focus waeza ongeza lnb 3,sirius 4.8E,ukapata tv congo,france 24 etc,chini yake waongeza eutelsat w3 7E,ukapata rts,pia kwa chini zaidi waongeza amos 5 @ 17E ukapata local channels...