Nahitaji chotara na kienyeji ili niendelee kufanya cross breeding mwenyewe. Lakini pia naomba na darasa zaidi la ufugaji wa hao viumbe maana ndio nataka nianze.
Kuna taarifa kuwa kwa mikoa ya Geita,Bukoba na Mwanza kumetokea tetemeko. Kwa waliopo maeneo hayo tajwa tafadhali mtujuze kama kweli kumetokea hiyo hali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.