kwa nin hzo kaz msiwape social workers na counselor mtu aliyeathirika kama yeye mwenyewe hajapata counseling ya kutosha atafanya nin jaman hebu muwe na uelewa ni gonjwa kama mengine ila co krahsi hvyo atatoa blablaa bt hana skills za ktosha na yy mwenyewe counseling haishii anapopma ni...
ni kweli inasikitisha lakin lazima 2jiulize anapenda?! Hakuna anayependa hivyo ila ni elimu yetu mbovu ya kibongo na percent kubwa ya wanaojua ngeli huwa hawana akili ila mbwembwe nyingi kujua kingereza co ndo uwezo wa ujuz unakuta mtu hajui kingereza lakin ana skillz za ktosha na uwezo mkubwa...
ila sio fresh wala nini we kama humpi kazi piga kmya atapewa na wengne co mpaka umlete hapa hata ww ulianzia huku hukuzaliwa unajua tena yawezekana chako kilikuwa kibaya zaid hizi lugha za watu co za bongo ndo mana wasahihishaji hawangalii unajua kingereza wanangalia ulitaka kusema nini ingekuwa...
jaman naomben mnijuze juu ya hii kampun inayoitwa touch down likizo iko karibu na office ya UNESCO kuwa inashughulika na nini nimeitwa kweny interview upande wa sales executive
hata kama ana stress lakin mtu mzima unayejua taifa linakuangalia wewe hustaili kuongea kashifa na maneno ya kihuni mbele za watu hizo ni stress zake yeye yako mambo kibao ya kufanyia kazi yanaacha kujadiliwa yanajadiliwa wa2 na siasa lazima tulifanyie kaz hili 2015 bila hivyo tunaelekea kubaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.