ahsante,mwanangu kaanguka toka kwenye kiti cha urefu wa kama stool hv za kawaida,kaangukia sakafuni japo kuna carpet chin na hakupoteza fahamu kbsa,damu amemeza kdg sana kwani nilimsafisha kwa maji ya chumvi,meno mpaka uguse ulitingishe ndo utaona linacheza ni kdg kama vile jino la mtoto...