Recent content by Nickson Swai

  1. Nickson Swai

    JamiiForums Tanzania Tunauza body spray

    Habari tunauza body spray shilingi 6000 tupo Mabibo,Dar es salaam mwenye uhitaji aniicheki mawasiliano yangu 0714954609 0714954609
  2. Nickson Swai

    JamiiForums Tanzania Biashara,uchumi na ujasiriamali

    Punguza kiherehere
  3. Nickson Swai

    JamiiForums Tanzania Biashara,uchumi na ujasiriamali

    Nimechukizwa uliposema Baki nazo umeongea dharau Mimi sijawahi kuleta dharau pia jiheshimu ukiona potezea ujifunze polite language Haina uhalisia usinifundishe biashara aisee manake wengine wakipost mbona hamkebehi cpendi dharau potezea wewe ndio unayeuza?Ebooh
  4. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemblock baada ya kugundua ni chawa

    Usikute naye anakuzoom humu JF😀😀😀
  5. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemblock baada ya kugundua ni chawa

    Avetar ya dume
  6. Nickson Swai

    JamiiForums Tanzania Biashara,uchumi na ujasiriamali

    Umelazilimishwa babu wewe ukikataa wengine wananua mbona kitu haikikuusu potezea unakua kama mwanamke mwenye mimba
  7. Nickson Swai

    JamiiForums Tanzania Biashara,uchumi na ujasiriamali

    Habari zenu mimi nauza carton za karatasi size A4 gm 80 Bei sh.57,000 mawasiliano 0714954609 pia mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu.Nyote mnakaribishwa.
  8. Nickson Swai

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kwa Io umeskia nimesema 40 rim saivi 57000
  9. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

    Aya kiongozi nimekusoma
  10. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

    Najua dada zetu kuteteana unajua hatukatai kuomba ela ila Sasa tatizo yaan kupata mshikaji ndo matatizo mara ooh gesi imekwisha naomba ela,mara ooh ivi mwengine inakua too much umepewa lift unataka kupiga na honi sio sahihi nafikiri dada zetu mbadilike unaomba yaan kila siku wewe tu au mwenzako...
  11. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakwepeni wadada wapiga vizinga

    Mmhhh sa ivi wanaume paza sauti"No vizinga ukiona vizinga vingi kimbia hapo ulipokaa si salama
  12. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

    😀😀😀 Maamuzi Yako upo sahihi piga chini alijua wewe ni ATM yake saivi shtuka mwanaume.
  13. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akikukatalia ku-sex usilazimishe, unaepushwa na majanga

    Duuuh 😀😀😀😀
  14. Nickson Swai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

    Sijasema kufundishwa ila saivi ukweli na uwazi kama utaki basi
Back
Top Bottom