Recent content by Nickson francis

  1. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Trump anakuja kuendeleza vita kama mtangulizi wake, wapumbavu wanakwambia eti hao ni mabest, yani trump au Putin anaweza kuthamini urafiki zaidi kuliko maslahi ya nchi yake!
  2. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

    😃 Jamaa hata aibu haoni, kaamua kutimba na kofia yake kabisa
  3. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Al Houthi wa Yemen Wametungua ndege mbili za US

    Kwahyo kati ya Israel na Hezbollah ninani malengo yake yametimia kutokana na vita baina yao?
  4. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

    Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe mkuu
  5. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Trump kuendelea kuisapoti Ukraine katika mapambano yake dhidi ya urusi

    Eti hawezi kuendelea na vita, uswahiba mbele ya maslahi ya taifa, hii vita ina maslahi makubwa kwa marekani hilo halipingiki.
  6. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    Na ndicho anachofanya netanyahu
  7. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mimi nadhani putin amechelewa kujua kipaji chake, jamaa ni comedy zaidi ya joti, muda huu angekuwa kwenye cheka tuu ya huko Urusi
  8. Nickson francis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya, nayo kujenga BRT kama Tanzania wenye thamani ya Ksh 43.4 bilioni

    Hiyo picha inazunguka sana, tokea sijui 2020 kwani hiyo brt haijakamilika tu? Hadi leo
  9. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    Hawezi kuleta, huyo anaandika kihisia zaidi
  10. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Putin asema Urusi ipo tayari kwa mazungumzo kuhusu Ukraine

    Nyani katema bungo
  11. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Something Big Coming on Houthis in Yemen This Week

    Huyo jamaa huwa anajibu kimihemko sana fuatilia utaona
  12. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Utakuwa unafuatilia tbc wew
  13. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    List ni ndefu na muda ni mchache
  14. Nickson francis

    JamiiForums Tanzania Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Prado kama hizi new model bei zake zimechangamka, kwa watz ni wachache wanaoweza kuzimudu
Back
Top Bottom