Recent content by Nickkp

  1. N

    Baadhi ya majimbo ya Kanisa Katoliki kusali(misa) Jumamosi (24/10/2015)

    jumapili imepangwa na wanadamu sio mungu, acha kupotosha watu kwa chokochoko za kisiasa. Siku zote ni za mungu. Uchaguzi huu sio wa magufuli ama lowassa. Ni wa viongozi wa tanzania na mungu ndiye msemaji mkuu. Hatuabudu siku tunamwabudu mungu. Amani kwako ndugu
  2. N

    Lowassa kaungame dhambi zako kwa mchungaji Vernon Fernandes wa Agape

    VERNON FENARNDES sio mchungaji ni mtume, lakini pia suala la kuungama ni la sirini ndani ya mtu,,na pia mchungaji au mtumishi Yeyote hana mamlaka juu ya maisha na maono ya mtu. Mungu ndiye msemaji wa mwisho, akisema ndiyo hakuna awezaye kupinga
  3. N

    UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    dadaangu mpendwa,neema ya Mungu iwe nawe, ushauri wangu kwako ni kuwa usizowee kutukana, sio kila anayechangia humu, hana akili sawasawa, pia kumbuka faida ya mfumo kukaguliwa ni ya vyama vyote,sio chadema tu wala ccm tu hapana. ni kweli kwamba mfumo bado hawajaukagua, na pia hawamaanishi hawana...
  4. N

    ITV kwanini mnarusha hotuba za Mbowe na kuacha za Bulembo kwenye kampeni za urais?

    vipi kuhusu TBC, STAR TV NA MAGAZETI YA UHURU HABARI LEO N.K, Ukijua kwanini hao hawaoneshi mikutano ya akina Lowassa kwa ufasaha itakuwa ni very simple kuielewa ITV. MUNGU AKUBARIKI,ASUBUHI NJEMA
  5. N

    CHADEMA hawatabadilisha Katiba wakishinda uchaguzi

    Hiyo ni hofu yako iliyokufanya udanganye, maana hoja yako ilisema huoni Sehemu yoyote chadema wakisemea katiba mpya, Mungu akuhurumie sana
  6. N

    CHADEMA hawatabadilisha Katiba wakishinda uchaguzi

    Ndugu usiwe mkereketwa wa siasa ikakufanya uwe na dhambi ya uongo, nimesoma Vizuri katiba ya CCM NA CHADEMA, NA NI KATIBA YA CHADEMA PEKEE INAYOFAFANUA JUU YA KATIBA MPYA KWA KUTUMIA RASIMU YA WARIOBA. REHEMA ZA MUNGU ZIWE JUU YAKO, KUKUONDOA KWENYE ULIMBUKENI WA KISIASA UKASAHAU KWELI YA MUNGU
  7. N

    Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    KWA HIYO TUNAOMBEA CCM AMA TANZANIA?maana unaposema tuombe Mungu wakati huo huo ukaihesabia haki ccm ama chadema, hayo ni maombi ya kisiasa na siyo ya kiroho. ya magufuli na lowassa wape, na ya Mungu mpe Mungu
  8. N

    Salamu ya Lowassa kwa wananchi ni kejeli?

    Mungu wa mbinguni katika jina kuu la Yesu AKUREHEMU na kukusamehe sina ushauri mwingine kwako. siasa ni kitu kinachokufanya uongope kwa lazima na kuingia motoni bila kupenda,
  9. N

    Hongera Juma Duni: Vituo 8,500 vimepungua toka 72,000 hadi 63,500

    vipi juu ya hawa milioni moja walioongezeka? naomba ufafanuzi.ASANTE pia nahisi hujasoma habari za magazeti ya leo, k.m nipashe n.k wameongelea kupunguzwa kwa watu milioni moja na pia vituo vimepungua. ukisoma hauta kuwa na sababu ya kubishana na kusema watu fulani hawana akili. utakuwa kila...
  10. N

    Ujio wa TB. Joshua kwa mualiko wa CCM una maana gani?

    Tb Joshua sio mtu wa hovyo kama hivyo, na pia ni uzushi kuwa alitabiri kwa mtu yeyote wa Tanzania juu ya urais. Ndio maana wanaosema hivyo hawana audio,video wala ukitafuta you tube ama katika. website ya nabii hukuti hayo. hajawahi kwenda mahali kwa mwaliko wa kiongozi, vinginevyo kihuduma. Asante
  11. N

    Msimamo wa Lowassa na Magufuli kuhusu katiba mpya ni nini?

    Hao wote hakuna ambaye ni mgombea binafsi, wote wapo chini ya vyama vilevile. ndiyo maana nimesisitiza kupitia ilani zao. Ingawa kuna maeneo nimesikia Huyu wa Chama cha demokrasia na maendeleo chadema akisema ataendeleza mchakato wa katiba mpya kwa kuanzia kwenye mapendekezo ya tume ya warioba...
  12. N

    Msimamo wa Lowassa na Magufuli kuhusu katiba mpya ni nini?

    Ndugu, acha uchochezi, kujifanya hujui eti magufuli msimamo wake, kwani yeye hakuwepo ktk wabunge wa ccm ktk kupitisha katiba pendekezwa? na je umeangalia ilani za vyama vyao umeona zikoje?.MUNGU AKUSAIDIE. Nawapenda marafiki wote JamiiForums ila huchukia unafiki
  13. N

    Ni kweli kuwa wanaohudhuria mikutano ya UKAWA wako chini ya miaka 18?

    Mpendwa, hapo juu umeuliza au umeeleza? hiyo tittle au shida ni typing error?nisaidie kwa hilo. nahisi umeuliza maana usingeweza kueleza ilihali kwenye mikutano watu hawaendi na birth certificate
  14. N

    Lowassa aahidi kujenga hospitali ya Rufaa kwenye kila makao makuu ya wilaya

    nafikiri kwa vyama vyote ni muhimu kupitia ilani za vyama kuliko kusikia tu mambo ya majukwaani. Mara nyingi ilani ndiyo mwongozo wa chama na pia huja kuwa mwongozo wa kiutendaji wa serikali inayokuwa madarakani. Mimi nina ilani za vyama vyote wewe je? Asubuhi njema
Back
Top Bottom