Recent content by nick waukwel

  1. nick waukwel

    Msaada: Application ya whatsap haifanyi kazi

    Kama w3 angalia hi manager utakuwa umetolea data
  2. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Please mkuu unaweza nielekeza kwamba jins ya ku install hiyo recovery
  3. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Maybe mpaka niweke sd card? maana Maybe mpaka niwe sdcard? Maana pale pakuinstall hapakubal wala ku tourch.
  4. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Yeah tena nilitumia kingroot
  5. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Yaan niki install inaingia lakn nikifungua nakuta maandishi mekundu yanasema ""The latest version of xpossed is currently not active""
  6. nick waukwel

    Je unataka ku update Tecno Camon C8 yako?

    Yaan kama yangu kabisa hilo hilo tatzo, sema nililitoa mpaka Sasa iko poa sema tu hzo updates zao hizo ndo sijazikamilisha
  7. nick waukwel

    Je unataka ku update Tecno Camon C8 yako?

    Yaan Mimi hiyo mifumo yao ishanizingua maana Niki update hios inaniwekea hi manager tu yaan hata siielew
  8. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Please bro sijazipata fresh izo information naomba unielekeze maana mm nilizan nikudownload tu then inakubal kumbe kuna prosses zingne tena?
  9. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Bado sija install but inapatika play store?
  10. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Please bro sijazipata fresh izo information naomba unielekeze maana mm nilizan nikudownload tu then inakubal kumbe kuna prosses zingne tena?
  11. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Bado sija install but inapatika play store?
  12. nick waukwel

    Tecno c8 xpossed installer

    Jaman naomben msaada jinsi ya kuweka xpossed kwenye cm yangu ya tecno c8 maana nikiweka inaonekana haiko active haifanyi chochote.
Back
Top Bottom