Recent content by Nick Magosso Mollel

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii Ndo Habari Mpya Kuhusu Shekhe Ponda Soma Hapa

    Vile vichwa wewe, unataka kumfananisha mtu wa darasa la saba na mtu wa chuo kikuu..!? yule anatafuta kula hela za wajinga ili aendelee kuipatia familia yake elimu, na mtazichanga sana tu hivyo vi miamia..!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii Ndo Habari Mpya Kuhusu Shekhe Ponda Soma Hapa

    Labda akagombee kondoa kwa sababu si hawajui kusoma..!?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Barabara za jiji la Arusha zinakera sana

    Yote ameleta lema, wakati ule hawa watu walipogoma yeye aliwatetea eti wapaki wapi.!? na barabara mbadala zipo ila watu wamegeuza ni mahali pa kupaki magari yao, wamachinga kufanyia biashara zao yote ni lema ameleta.! yaani jiji limekuwa kama zizi, haohao madereva wanakojoa barabarani hovyo na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mpita njia ajeruhiwa kwa Risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco Kinondoni

    Poleni wazazi, mume, mtoto/watoto, ndugu wa marehemu, na marafiki, majirani, mwanga wa milele umwangazie ee mwenyezi mungu, amen.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwani Wazee wa Dar ndio Watu ambao wanastahili kuwaambia matatizo ya Watanzania?

    Kwa upande wangu sioni tatizo kuongea na wazee ila dar es salaam peke yake ndio kuna wazee..!? au kuna siri gani kati ya jk na hao wazee au ndio kulindana..!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mtoto huyu akutwa ametupwa porini eneo la Mafifi

    Pole mtoto, nafikiri walikwenda kwa babu wakaambiwa wakutoe wawe matajiri lakini mungu aliyekuleta duniani hakuona kosa lako, serikali itoe adhabu kali kwa wahusika.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

    Vipi mkuu kwanini hukuchukua nafasi ukaenda wewe!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Singida: Amtupa mjukuu wake Kupitia dirisha la basi wakati likiwa kwenye mwendo kasi

    Huyo ni mchawi, muonekano wake tu unatosha..!!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

    Huyu atakuwa ni mshirika wa taleban, huwezi ua watoto wako kisa mwanamke kama sio gaidi ni nini..!?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ajali ya bodaboda yaua

    Tuwekee picha mkuu..!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kumetokea ajali mbaya njia ya Ngaramtoni

    Kwa mkeo..!!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kumetokea ajali mbaya njia ya Ngaramtoni

    Chuga ndio home hata mm, we nitajie mkoa wenye gari za gharama zaidi ya chuga..??
  13. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    R.I.P Aisha.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kumetokea ajali mbaya njia ya Ngaramtoni

    Acha ushamba wewe, kuna mkoa wenye magari ya gharama kama arusha..!? au unaongea kwasababu huo mdomo hulipii vat..!!
  15. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha Mjini tuambieni kama mgao wa umeme umeshaanza

    Jamani ni kero full hapa Atown hakuna muda maalum au tangazo kuwa umeme utakatika, tutangazieni kuna mgao....!!!!!
Back
Top Bottom