Recent content by nicholas1

  1. N

    Dodoma mjini- bei za frem ya biashara

    Mkuu tufafanulie maana mi nimeshajiunga,Sasa nashuka hapa ndio naiona comment Yako
  2. N

    Msaada: Certificate ya Clearing and forwarding inayotolewa TRA

    Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye field ya kuagiza bidhaa au mizigo kutoka nje. Pia mtu aliyesoma hiyo kozi uwanja wake katika Ajira...
  3. N

    Nipo njia panda kuhusiana na kampuni ya interchicks

    Habarini wana jamvi?Naitwa Nicholas naishi morogoro,nashughulika na biashara na ufugaji.Kifupi ni kwamba nimepata tatizo katika kuku wa nyama niliowachukua kutokakampuni ya interchick kupitia wakala wao hapa morogoro ambao ni duka la madawa linaitwa Imuka.Yaani hadi sasa bandani kwangu kuku...
Back
Top Bottom