Recent content by nicho6ers

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Dah!huu ndio ushauri ambao ameomba au?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Habari za asubuhi waungwana kisia huu ni mti gani?

    Mtiki
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wapo Special Thread: Andika Sentensi malizia na neno ''Wapo''

    Radio fm wapo!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

    Vua miwani hiyo utaona vizuri mkuu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Yote yanayoendelea kwa sasa ni muhimu kwa mustakabali wa nchi vita dhidi ya madawa ya kulevya iendelee hata kama mbinu zitabadilika na Makonda achunguzwe na kama atapatikana na hatia apewe haki yake.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Umewatusi watanzania wote maana hata wale wateuliwa hawakupinga maazimio.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Hee upinzani au bunge!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumdhibiti Makonda, nisisikie mtu akilalamika juu ya madawa ya kulevya!

    Kwa hiyo kama orodha ndio ile unadhani kwa nini imeandikwa na mtu kama anaekimbia kulowana na mvua.maana majina yanakosewa,zimetumika aka bila majina halisi na mengine jina mojamoja.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Kashilila: Maazimio ya Bunge kutaka RC Makonda kuja bungeni, hayakufuata Sheria

    Kwa hiyo hoja ndio itakuwa imekufa au bado wananafasi ya kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza ili hoja iendelee kuwa hai?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Mrema alikuwepo bungeni leo?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Nini kinachokufurahisha?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Ikisha fikia hapo unapohitaji ujue na huku nje amani kidogo iliyobaki haitokuwapo tena ujue.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Siasa zenye tija kwao ndio zipi katika mazingira haya?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Kwa nini amewafukuza hao watatu?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Ni kweli zipo sheria na kanuni lakini waliopewa mamlaka ya kuzisimamia hawafanyi hivyo sasa unafanyaje kwenye mazingira haya?
Back
Top Bottom