Habari wana Jf,
Ni kweli yawezekana kukushangaza ila kila mtu aonavyo. Na kutoa msaada na ushirikiano kwa mtu si lazima pesa tu hapana bali kile unachoona kile chaweza msaidia katika maisha yake. Katika kuwaza kwangu najua kuna wanawake au wanandoa ambao muda mrefu kilio chao ni mtoto na...
sidhani kama pesa itakufanya unipende kwa mtazamo WANGU, hebu omba Mungu aubadilishe moyo wako uwe na pendo thabiti maana pesa ilimsaliti hata mtu asiyekuwa na hatia
hekima na maarifa ni kitu pekee ambacho chaweza kumfanya mtu kuinuliwa toka chini na kumketisha na wakuu, pitia historia ya suleman kama utapata muda mamii then utathibisha nisemacho mamii.
atakaye kuwa nami atakuja kuwasimulia hali yangu ya kiuchumi jinsi nilivyo nataka yeye aje kuwapa ushuhuda na ushuhuda WANGU wa kwanza nataka nimpe yeye na wengine watafuata ndugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.