Recent content by Nicazius

  1. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    Thanks Malila, pamoja na article na psot kuwa ya zamani umenisaidia sana, nimeongea na Mwl and he will assist me to have number ya simu ya meneja wa shamba.
  2. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    MKUU KAMA BADO UNAPATIKANA NAOMBA CONTACT ZA HUYU MWENYE SHAMBA
  3. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    MKUU NAOMBA CONTACT ZA HILI SHAMBA LA WATU WAMISSION HAPA KILACHA TAFADHALI
  4. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Aliyekujibu ana Shida, Jibu sahihi Yes it will work only in few parts of Dar and Arusha on 2600 and let her/him mention hizo area like City center, Masaki etc
  5. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Let me help for the last time Smile wana 800MHZ FDD LTE band 20 na 2600MHz FDD LTE band 7 Tigo/Telesis wana 800MHz FDD LTE band 20 Voda wamefanya frequency refarming kwa 1800MHz FDD LTE band 3 Smart wana 2300MHz TDD LTE band 40 Kama sikosei???? TTCL wana 1800 FDD LTE band 3 Zantel wamefanya...
  6. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    That is where you are wrong, Wikipedia siyo authenticated source to use...kila Chizi anaandika. Nenda TCRA kama huamini au nenda Smile na Zantel.
  7. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu nipe bei ya Xiaomi 65-Inch Curved Mi TV 3S With 4K Samsung Display ( Xiaomi Mi TV 3S Surface 65) With full installation kit and music system
  8. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    neo1 4G speed maximum ni 65Mbps on DL and 21Mbps on UL kwa channel bandwidth ya 10MHz Uamuzi ni wa operator Kama anataka kuoffer up to Max speed au la kulingana na transport network yake Kama inaweza support such speed hasa end node to end node. Swali la msingi, do we real need such speed? For...
  9. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Halotel hawana 4G kwa sasa, wana 3G wape muda utarudi kwa wateule
  10. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Zantel wanatumia 800MHz FDD LTE band 20 Smile wanatumia 800MHz FDD LTE band 20 na 2600MHz FDD LTE band 7 Smart wanatumia 2300 MHz TDD Voda wanatumia 1800 MHz FDD band 3 Kama sikosei
  11. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    That is 4G ... Daily bundle Kama huwezi nunua weekly au monthly bundle Special kwa wezangu na Mimi Kama mawe yanagoma....Jaribu kuconfirm nao Kama speed ni 21Mbps au 2Mbps Tembelea www.smile.co.tz kwa maelezo zaidi au piga 0662100100
  12. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Ni kweli Zantel wa 4G kwa kutumia mtandao wa 4G wa tiGO Kama MVNO
  13. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Tatizo ni either 1. Watumiaji ni wengi 2. Kuna interference 3. Poor resources planning hasa kwenye Transmission links to backhaul 4. Au international pipe ipo congested Watumie complaint yako
  14. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Zantel 4G

    Wazee 4G ipo Smile na Ndiyo ya ukweli kwa sasa ana bei ni bure kabisa. 1. Unlimited weekly @ TZS 35,000 at speed up to 6Mbps 2. Unlimited Monthly @ TZS 70,000 at speed up to 2Mbps 3. Unlimited Monthly @TZS 115,000 at speed up to 6Mbps 4. Unlimited Monthly @ TZS 210,000 at speed up to 21Mbps 5...
  15. Nicazius

    JamiiForums Tanzania Ntapata wapi vifaa vya kutengenezea green house na tents za kupunguza ukali wa jua kwenye Bustani?

    Nenda Balton Barabara ya kwenda CocaCola kutokea Mwenge mkono wako wa kulia, wana hii solution pamoja na Irrigation dreep ... Website site yao nii hii : Balton Tanzania | The official website for Balton Tanzania Ltd Kazi ni Kwako.
Back
Top Bottom