Recent content by NIBBLER

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Kwa uelewa wangu, Kustafu kabla ya miaka 60 ni kuwatengenezea ajira vijana wenye umri mdogo wapate fursa ya kuajiriwa. Sasa inakuwaje serikali inakataza watu kutengeneza AJIRA kwa wengine??? THIS IS A CONTRADICTION!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Ukizingatia kuwa mauaji ya albino yanahusishwa na imani za ushirikina na kwamba wengi katika nafasi zao za uongozi na biashara katika nchi hii wanategemea sana nguvu za giza kupitia 'KAMATI za UFUNDI' ambazo kiungo cha albino kwao ni 'ingredient' muhimu sana, ni dhahiri kwamba vita ya kukomesha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wale Albino wahukumiwe leo since 2008?

    Umenikumbusha ile kesi ya 'NYOKA MWENYE MAKENGEZA, aka, VIJISENTI ilyohusu kugonga kibajaji na kuua raia wasio na hatia alfajiri akiwa, kama sikosei, anawahi kusindikiza michepuko. Kesi hiyo iliendeshwa kwa mwendo kasi mno fang' fang'!! SHAME ON THEM. :help:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Namanga, Bagamoyo Road - Dar es salaam

    Je TZS 45mil. itafaa?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Namanga Dar es salaam

    Kiwanja chenye eneo la mraba 968 (44mx22m) kilichoko mita 150 kutoka kwenye Kituo cha Namanga (Bagamoyo road -baada ya kupita njia panda ya Wazo Hill ukitokea Tegeta kwenda Bagamoyo). Bei yake ni Sh. millioni 65 na Inazungumzika, karibuni!:yo:
Back
Top Bottom