Kiwanja kinauzwa Namanga Dar es salaam

Kiwanja kinauzwa Namanga Dar es salaam

NIBBLER

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Kiwanja chenye eneo la mraba 968 (44mx22m) kilichoko mita 150 kutoka kwenye Kituo cha Namanga (Bagamoyo road -baada ya kupita njia panda ya Wazo Hill ukitokea Tegeta kwenda Bagamoyo). Bei yake ni Sh. millioni 65 na Inazungumzika, karibuni!:yo:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom