Ni kweli hamna kitu kabisa. Najiuliza tu kuwa kwanini walitangaza majina ya malipo kwa wengine na wengine tumeachwa?. Na lini tutapata?. Hakuna pa kuuliza zaidi ya humu. Hata vyama vimesha kaa kimya na vinakusanya michango tu.
Hapo juu kwenye reli na ndege. Naona vijana wengi wamapata ajira, hasa reli tu ni vijana wengi sana au wameajiriwa au fursa ya kujiajiri. Mfano hata mama lishe, madereva, mafundi, watoa elimu na wengineo wengi sana na wanazidi kuajiriwa kila kukicha.
Nalitetea hili ninalolifahamu la reli na...
Mpendwa wa MUNGU umenigusa vizuri sana. MUNGU akubariki wewe na Uzao wako. Dhambi sio za kufichwa. Ni kufukua ili zifutwe na watu waokoke, sio kuvaa ngozi ya kondoo. Hata Serikali inawajua kuwa wanavunja amani na wamewaita na kuwapa darasa. Sasa na sisi pia tuwasaidie humu ili waache hayo...
Kama wanajua yaliyo kweli na wamekengeuka na wamejaa chuki na tamaa za yaliyo ya mwilini, badala ya kufanya kazi ya Mungu wao wameiacha njia. Basi ili wajengewe kujua amani na upendo na wananchi wengine wapenda amani na upendo toka kwa dini na jamii zingine. Ikishindikana wakamatwe na...
Jana mmepatanishwa. Sasa je waliofukuzwa watarudishwa?. Mtakaaje pamoja na kuliongoza kanisa?. MUNGU ATUSAIDIE TUTOKE HUKU TULIKO INGIA LEO BILA KUKUMBATIA MAOVU KAMA ULAKU, UZINZI NA MENGINEYO
Mfichaficha maradhi kilio kitamfichua. Tuanafichua dhambi. Yesu aliwavurumishs wafanya biashara kanisani. Lete huku ili wafunuliwe hawa wanaochukiana, waovu na wavunja amani. Hapa watapata dozi nzuri tu. Watapata ukweli wao. Sijui tatizo ni shule?. Uku wanajikweza kuwa ni ma dokta. Hampendani...
Wana majengo ya makanisa mengi na rate ya dhambi ni inapanda kwa kasi. Ni vema rate ya dhambi ikapungua kwao wao viongozi na wananchi.
LENGO KUU LIWE NI NENO LILETALO WOKOVU. WATU WAOKOKE NA KUISHI KWA UPENDO NA MATAKWA YA KIMUNGU. Wao wanatanguliza miujiza lengo ni kujikusanjia mapesaaaaa. Eti...
Huko bwana ni shagala bagala. Inatakiwa wahubiriwe ili waokoke waache kunena kiluga kiuongo uku wakikodoa mimacho. Na kuhubiri kujenga hofu kws wanawake ili wapate mipesa hadi wanagombana. Wakitoa mapepo wanaweka mic na sauti juuu ili kijenga hofu kwa lengo la pesa na sio Wokovu. Haya mambo ni...
Kaangalie chuo chao Dodoma, utachoka ni kama nyumba ya kufugia kuku. Kaangalie magorofa yao ni kamaw ya ufaransa. Wanajiita ma dakotari huku hawajasoma ni ujanja tuuuuu kama waonesha mazingaombwe. Eti manabii, mitume, madakitari, maasikofu....hawana lolote ni wapiga dili tu.
Wanaanza kihubiriwa...
Nadhani kuna kunyanganyana au kugombea madaraka ili kujichotea mapesa. Lengo kuu ni mapesa wala sio kiroho. Serikali isipoingilia wataumizana hawa. Mashehe piwa wanaweza kuwasaidia hawa watu kwa kuwapa mawaidha. Hawana upendo wa Mungu. Ndani kuna uchafu mwingi tu. Viongozi wana shika utajiri...
Hazina, tunawaomba mtukumbuke May, 2018 tulipwe kama wengine walivyolipwa. Ikiwezekana pia tujitoe kwenye kukatwa na vyama vya wafanyakazi ili kuongeza kipato cha kujikwamua kwenye hali hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.