wewe ukiwa kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yako unashauri nini kifanyike?
ila pia ni kwli unachokiongea mheshimiwa wetu asipokuwa makini atamaliza kipindi chake cha uongozi akiwa mchafu kwa maana kwamba watu wake wa karibu na wanaomzunguka ndo watakaomchafua aonekane hafai, "mimi nadhani...
mimi nashindwa kuelewa watanzania tuna nini, balali kafa "mapenzi ya mungu" serikali ilisema haijui huyu mtu kalazwa hosipitali gani huko marekani sasa kafa wanatutangazia wamejuaje kafa wakati walikuwa hawajui alipolazwa au walikuwa wamemficha wao?
au walimficha ili wampe sumu kama tunavyosoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.