Recent content by nhinhi

  1. nhinhi

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Hii kitu yenye 7 seats...unaendaje
  2. nhinhi

    JamiiForums Tanzania Magufuli fukuza watumishi wote. Ajiri upya na kuweka KPI kama staff wa Big 4 proffessional firms

    Ukiwa unapambana na hali yako....angalia usitingishe wenzio! P4P
  3. nhinhi

    JamiiForums Tanzania Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

    Ushauri wa kuendelea na pcb hapa hautasaidia...mentality yako imeshajitune kushindwa!kama una ndoto za kua kweye field ya afya,hujachelewa kujiunga na vyuo vya CO's! Kwa pcb advance izo ndio alama zake..mimi o'level pcb nlikua na DBC,ila advance nikapata BAD!!!sitakuja kusahau msuli YATIMA...
  4. nhinhi

    JamiiForums Tanzania Jaji(Mst.) Salome Kaganda: Wakurugenzi Wanawake mkazifiche sidiria zenu huko mnakoenda

    Kuna jamaa nawafaham hapo..yanaingia sikio la kulia na kutoka kushoto! Tabia ya mtu ni kama ngozi...anawapigia mbuzi gitaa hapo
Back
Top Bottom