Zaidi ya 80% ya mapato ya vituo vyote vilivyosajiliwa na Mfuko vinategemea malipo yatokanayo na kutibu wanachama wa Mfuko...tembelea vituo angalia katika watu 10 utakuta walau 8 wana kadi za NHIF.
Kila mwenye kituo anatamani kufanya biashara na NHIF toka anapoanza. Hivyo NHIF ni chaguo namba 1...
Tunashukuru kwa maoni. Bima ya Afya ni suala la kila mmoja, hivyo tuendelee kuhimizana kila mmoja ajiunge kugharimia matibabu. Kwa upande wake, NHIF imeandaa vifurushi ambavyo mwananchi anaweza kujiunga kwa kutegemea umri wake, idadi ya wanufaika katika familia na mahitaji ya huduma kuanzia TZS...
Ndugu mdau tumepokea mrejesho wako. Changamoto iliyojitokeza imeshasuluhishwa na maombi yote ya vitambulisho vya matibabu yaliyowasilishwa katika ofisi za NHIF yameshafanyiwa kazi. Endapo hujapata kadi yako tafadhali fika ofisi uliyowasilisha maombi yako au piga simu ya huduma kwa wateja 199 kwa...
Ujumbe unaotumwa na NHIF kwa mwanachama mhusika anayehitajika kuhuisha taarifa zake umejitosheleza na unaeleweka kama ifuatavyo
........Ndugu mwanachama mstaafu, tafadhali fika na mwenza wako katika Ofisi ya Mfuko iliyo karibu kwa ajili ya zoezi la uhakiki kabla ya tarehe 30/4/2023. Aidha, fika...
Ahsante kwa maoni yako. Uhakiki wa wanachama wa mfuko kabla ya kupata huduma za matibabu ni jukumu la kila siku la mfuko lenye lengo la kuhakikisha wanufaika wanaostahili wanapata huduma kwa mujibu wa Sheria. Ujumbe mfupi wa kuhakiki taarifa unaotumwa kupitia simu za mkononi kwa baadhi ya...
Asante kwa maoni yako. Uhakiki wa wanachama ni suala la msingi na hufanyika mara kwa mara katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. NHIF inaendelea na uhakiki wa wanachama wake na ili taarifa ifike kwa walengwa ujumbe maalum wa wito unatumwa kwa mhusika. Dhumuni ni kuhuisha taarifa za uanachama na...
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, Mfuko umeona malalamiko yako na kwa kuwa Mfuko unafanya kazi kwa uwazi na una utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya watoa huduma tafadhali unashauriwa kuwasilisha malalamiko yako na vielelezo husika ili tuyafanyie kazi. Aidha, unaweza kutumia namba...
Mfuko haujapunguza Siku za mgonjwa kwenda kupata huduma za matibabu isipokuwa huwezi kwenda Hospitali mara mbili kwa ajili ya ugongwa mmoja kwa siku hiyo hiyo na inapotokea dharula katika huduma ulizopata awali mwanachama anapata huduma..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.