Recent content by nhh

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chumba master na jiko kinapangishwa Mwenge

    Nahitaji chumba kimoja master maeneo ya sinza laki moja kwa mwezi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Tofauti ya kura laki moja na arobaini sio parefu magufulia asubiri minyoosho tuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Sio account ya kweli hiyo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Diva wa Cloudsfm interview with Seyi Shay sikiliza

    Hahahahaaa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Aisee ni kama mimi nilidhani minyoo mpaka leo sili tambi hata nikiona tu hamu ya kula inaisha
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Mimi nilikua sipendi tambi nilikua nafananisha na minyoo mpaka leo nimekua siwezi kula kabisa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Masogange, Davido ndani ya "PENZI" zito

    Kakomaa magoti huyo demu wa davido hatari...ukigongana nae huyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

    Hahahahaaa nmemfikiria mama zari halafu nkafikiria tena anamkazia macho kichanga lol! Tena nusu saa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto

    Hahahahahaa diamond atapata kichaa ikiungua nyumba ile...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

    Hahahahahaha nimecheka.sana lol!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Unconfirmed: Huko Uganda Ommy Dimpoz ajiita producer na songwriter wa Diamond Platinumz

    Mimi nilisikia sababu ni ile project yake na wema ndio iliyowagombanisha
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

    Baby tiffah
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mrembo Jack Patrick atoka na viwalo vya 8m

    Alikua anaitwa jack mzungu enzi hizo
  14. N

    JamiiForums Tanzania AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

    Wanatafuta kiki hao... na kama ni kweli Wema kafanya vibaya aliporekodiwa yeye alidhalilishwa ila kwa mziwanda ndio kawa bucha lao insta wanamshambulia na Wema anasifiwa kwa alichofanya
  15. N

    JamiiForums Tanzania Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

    Hahahahaha you made my day lol!
Back
Top Bottom