Recent content by NHAPILAFINDU

  1. N

    Rais Magufuli, vunja vunja Wizara hii katika uchapakazi wako Ikulu

    Anajitundika mwenyewe dripu? Km ivo bas kweli huyu ni mchapa kazi.
  2. N

    Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    badala ya kuongelea hali halisi ww unashndania vyama. Hii ni aibu! Ongea topic usiongee khs chama, hauna hatimiliki na chama pimbi weye.
  3. N

    'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    let him die. ni hasara. pamoja na mambo mengi amefilisi sn uwezo wa watu wa kufikiri. huweziamini, wa2 wamekuwa wakitoa hoja mbov sn za siasa ktk kpnd chake. litakuwa taifa gani la watu wasiojiweza kifikra? i wish Mama Samia achukue hatamu.
  4. N

    'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    Serikali ya tz inabana hbr hata ambazo hazikustahili, waandish wa ndani wanatii kwa sababu wako ndani ya dola, lkn vyombo vya nje haviwezi kuogopa kuripoti habari ambazo ni sahihi, hata kuripoti maovu ya viongozi wanaripoti tu. Sasa wanasiasa hawa huwa hawana cha kuongea zaidi ya kusema hivi...
  5. N

    'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    Sijui mlirogwa na nani! mnachokitetea ni nini ninyi mazinjanthropus!! hii ni ajabu.
  6. N

    Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    sauti ikitetemeka mtasingizia network au speaker? Rais anaumwa, akiongea basi ni kwa shida mno.
  7. N

    Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Huyo mgonjwa ndiye ambae hafuati katiba. Km ikitokea akafariki bs mama Samia atachukua nafasi, no way out. Unaowadharau ww ni watu wamestaarabika na wamejaribu kukufumbua akili kwmb ikionekana Rais anaumwa kiasi cha kushndwa kutekeleza majukumu basi Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais. Mnaweka...
  8. N

    Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

    Hujawahi kukaa ukafikiria. Haya yote ni ujinga unaouckia ckia ukaamua kuuchukua na kuja kuuexpose hapa, aibu kwako.
  9. N

    NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

    cjui kuandika kwnyw umejuaje! me huwa nazshangaa sn akil mbov km hii.
  10. N

    NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

    cjui vichwa vya aina hii vitafunguka lini! ujue hii ni aibu kwa taifa! kwa nn ujinga wa namna hii hauishi kwny hii nchi? hopeless!
  11. N

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    Ni kweli hawamtambui, una lingine?
  12. N

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Tuombe apone haraka aje akanushe.Siri imekuwa sio siri tena, lkn akipona akaja kukanusha itakuwa na uafadhari kidogo. Mbaya ni kama akifariki, cjui wataongea nini hawa wanazi.
  13. N

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Mimi nadhani kuna kitu, si bure. Km Rais angekuwa yuko salama basi vyombo vya hbr vikubwa vingeshatujuza. Ila kwa hali aliyo nayo, na siri ambayo serikali wanaifanya, sidhan km kuna chombo cha habari kikubwa kinaweza kutoa taarifa hiyo.
Back
Top Bottom