Recent content by ngwangwa

  1. N

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    IFUATAYO NI TAARIFA YA MCH MTIKILA KWA WAANDISHI WA HABARI KATAIKA MKUTANO WAKE TRAVERTINE HOTEL JANA 14th JULY 2008 + KAMATI YA WAKRISTO YA KUITETEA IMANI+ (Wafilipi 1: 27-30, Yuda 1: 3-4, 1Petro 3: 14-16) P.O. Box 3885 Simu 0755 885095 au 0713 430516 “ROSTAM” AMEHARIBIKIWA? Kabla...
  2. N

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Nimeona niwapatie chanzo cha hasira za Rostam Aziz kwa Mch Mtikila kama ujumbe huu mzito ulivyoandikwa na Mch Mtikila mwenyewe uliogawiwa kwa waandishi wa habari wote na wabunge wote. KAMATI YA KUPAMBANA NA UPORAJI WA NCHI PUBLIC INTEREST LITIGATION COMMITTEE (PILCOM) Kamati hii ilianza...
  3. N

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Tarehe Ya Kufungua Kesi Ya Mch Mtikila Siku Hiyo Siyo Kweli Na Kesi Haikufunguliwa Kwa Mwanahalisi Peke Yake Hata Tanzania Daima Nalo Limeshitakiwa Pia.chadema Ndio Wanaoongoza Kutoa Hela Ya Kumchafua Mwenyekiti Wa Dp Kwa Mwanahalisi Na Tanzania Daima.
  4. N

    Rostam aibukia kanisani!

    Mchungaji Mtikila asubuhi hii anakutana na waandishi wa habari kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Rostam Aziz aliyoitoa hapo jana Kilimanjaro Hotel kwamba yeye amekuwa akitoa msaada kwa makanisa na misikiti mbalimbali hapa nchini. Mch Mtikila hakukanusha juu ya madai ya Rostam (Nasita kumuita...
Back
Top Bottom