Recent content by ngwanamisuka

  1. N

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Kama tulivyoona kuna muda kwenye sakata la Escrow, discussion ilikuwa ya wachache, kuna haja Wabunge walioishia la saba basi wawe na hako kacheti kwani kuna watu kama yule Maza kiti maalum hata sikumuelewa. Otherwise ni kuaibishana.
  2. N

    Kwa kauli ya Mbowe, kesho rasmi narudisha kadi ya CHADEMA mtaa wa Ufipa

    Akili za... Changanya na zako. After this, Ukawa tumepata weapon tosha for next year's election.
  3. N

    Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Aisee niko hapa Ubungo Plaza, hakuna mdahalo kwa madai ya sababu ya kiintelijensia...
  4. N

    Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Mi ntakuwepo Ubungo Plaza hata kama haupo.
  5. N

    Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Kwa mara ya kwanza, nimetoka Kanda ya ziwa na ninatakiwa kurudi Mbogwe, wilaya mpya ya Geita, ila nimegoma mpaka nihusike hapo alasiri kushuhudia live huu mdahalo.
  6. N

    Wakili Kuwayawaya sijaelewa unachosema kuhusu Kikomo cha Wabunge kwenye Marekebisho ya Katiba

    Buchanan Of course simuelewi anaposema c kazi ya mbunge kwenda jimboni na kujua demands za wananchi wake, of course simuelewi anapodhani ni rahisi waZanzibar kukubali kuwa Wilaya au Tarafa wakati wana mamlaka yao, na pia simuelewi anapodai huyo Mbunge asie na elimu ya darasani kuweza kujadili...
  7. N

    Wakili Kuwayawaya sijaelewa unachosema kuhusu Kikomo cha Wabunge kwenye Marekebisho ya Katiba

    Umesema kazi ya Mbunge ni kuwakilisha wananchi Bungeni na wananchi kama wana shida wamtafute Mbunge na sio vice versa. Umesema Mbunge asiwe na kikomo kwa kuwa watu ndio wakimchoka hawatamchagua. Unataka serikali mbili, ukiwa na walakini kuhusu ambavyo waZanzibari watakavyoichukulia nchi yao...
  8. N

    Silinde alipua juu ya ndovu

    http://m.aljazeera.com/story/2014116163317314744 Hapa utawaona wanachosema Aljazeera kuhusu hili suala
  9. N

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    Ni upuuzi kuponda mbinu na juhudi za ukombozi. Wananchi ni wale wale waliochoka kupelekeshwa kama wendawazimu, iwe Ukawa, Chadema au chama kingine, muda wa CCM kushika dola uko ukingoni
  10. N

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Lazima awepo mtu ambae atakuwa Balozi, akikaa huyo, maana ya Balozi wa Tanzania huko itapotea.
  11. N

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Nyie mnaotetea mnataka kusema bila huyo Mwarabu, hakuna mtu mwingine mwafrika mwenye asili ya kibantu ambae anaweza kufanya hivyo huko?
Back
Top Bottom