Inategemea ukubwa wa familia yako mkuu.
Kama family members wanazidi wanne basi Noah 1999 saizi yako lakini kama ni ya kizungu IST/Vitz zina ulaji mzuri sana wa mafuta.....spacio pia si mbaya
Kaka kazi unayo.
Imeandikwa katika siku za mwisho upendo wa wengi utapoa. Muulize mkeo ikiwa amewahi kufikiria kumuua baba au mama yake. Au ikiwa amewahi kwa namna yoyote kuwasikia wazazi wake wakipanga njama ya kumuua. Asifanye hilo kosa nawe usithubutu kuruhusu. Ni dhambi mbaya sana hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.