Recent content by Ngwakwiii

  1. Ngwakwiii

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO MTAA WA RAHA NA MUHONDA KARIAKOO TUMEWAKOSEA NN KIKUBWA HIVYO TANGU TRH 14 DEC 2024 KILA SIKU LAZIMA MKATE UMEME HAMJUI TUNATESEKA? KAMA KUNA JAMBO LILITOKEA TUJULISHENI ILI TUELEWE NAMNA YA KUJITETEA NDG ZANGU!
  2. Ngwakwiii

    Kassim Majaliwa: Tanzania inajiandaa kurusha Setelaiti

    Comments nyingi ni kama tunajidharau tusipoanzia hapo lini tutafika kama Taifa? Tuwe wazalendo kupenda wanasayansi wetu na kuwatia moyo japo najua wengi wanadharau kwa kuwa wanaona namna Elimu yetu inavyobadilishwa kila wakati mitaala na wanasiasa
  3. Ngwakwiii

    PreGE2025 Kisa ujenzi wa madarasa, Mwijaku agalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia

    Huu uchawa ni hasara Kwa Taifa Imagine wakaibuka vijana mithili ya huyu mtoto wa Kazuramimba 100 nchi si itasimama Kwa uzembe ? Hapa shida imeanzia kwenye mitaala ya Elimu Mtoto anasoma ila hajui anasoma nn yy ni kukariri tuu mwisho anamaliza Kazi hana na hajui atafanya nn Anaamua kubuni...
  4. Ngwakwiii

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    KWELI hii kazi mmezidiwa ila hamkati tamaa gari kituo cha Kariakoo B kusubiri zaidi ya dk 30 bado mlango mmoja wa kikatia tiketi umefungwa wakati ndicho kituo chenye population kubwa? Mungu tusaidie sana
  5. Ngwakwiii

    Barabara ya mwendokasi Mbagala imeshakamilika ila DARTS ndio hawana basi za kuanzisha ruti za Mbagala

    Hakuna barabara Dar es salaam inayoliza kama hii ya mbagala haswa kuanzia jioni ukikuta wanafunzi na kina mama wamekaa chini kabisa ni kama wanaomboleza hawajui watafika makwao muda gani DALADALA muda huo zote zinahama root ama kwenda kijichi au mwisho zakhem na nauli wanapandisha kama LATRA...
  6. Ngwakwiii

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    kwa nn hamuanzishi safari za kariakoo Mbagala ilhali wananchi wa maeneo hayo wanateseka kama sio Watanzania? Jaribuni kufika kwenye vituo vya daladala za njia ya kilwa road jioni muone kina mama na Wanafunzi wanavyoteseka kama sio watanzania hakika ni kilio cha usafiri Mtu anaanzakutembea kwa...
  7. Ngwakwiii

    Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

    Hapo kwenye darasa la saba B nimekudharau unadhani udereva ni kama biology au chemistry
  8. Ngwakwiii

    Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

    Kama wamerudisha daladala mbezi kariakoo mbezi kivukoni baasi huu mradi wa mwendokasi gerezani mbagala rangi tatu ushaanza kunitia mawazo sana sijui utafunguliwa lini Maana usafiri wa mbande chamanzi tuangoma kisewe kwa jioni huwa nawaonea sana wanafunzi na kina mama huruma mpaka natamani kulia
  9. Ngwakwiii

    Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Arusha imekuja kwa kasi mno hapo mtaa wa Florida vitoto vidogo kweli vinajiuza Kwa msiojua Florida ni nyuma ya ofisi za BM coach Arusha Hapa kuna mahali familia tunakosea na kukosa hofu ya Mungu
  10. Ngwakwiii

    DOKEZO Miundombinu ya Mkuranga ni mibovu, mvua inaongeza tatizo, Wananchi wa hali ya chini ndio tunaoteseka

    Kwa kweli mbunge wetu kuna mahali unakosea maana tangu kipindi cha jua kali niliwahi kusema brbr ya kutoka mbande kwenda singbad mpaka kwako ulipozaliwa kuna siku watu hawatatoka ndani usipoboresha makalavati ya mto MZINGA ona sasa jana maji yamebomoa mpaka yale yalokuwepo Natabiri siku sio...
  11. Ngwakwiii

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Ila hizi hesabu sijaelewa hata kidogo sijui kwa kuwaai kusoma?
  12. Ngwakwiii

    Tanzania tumeishinda kasumba ya kushindia mkate kama chakula kikuu

    Usichokijua ni kwamba kila nchi ina utamaduni wake Mfano India jimbo la Mumbai pale chakula chao kikuu ni mkate na juice hao chakula chao cha pili ni biriani lenye pilipili nyingi So usione hatuli mikate kwa wingi wakati mwingine ni umaskini tuu Mkate wa Bakhresa Tsh 2000+ Mkate wa mtaani...
  13. Ngwakwiii

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Neno ; Ipo siku mtanikumbuka Linaniumiza mpaka leo kwenye moyo wangu Any way lala salama mzee Rais /baba/buldozer John Pombe Joseph Magufuli
  14. Ngwakwiii

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Hela hakuna mpaka dollar nayo ni adimu balaaa MUNGU tusaidie
  15. Ngwakwiii

    Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

    Ila wanawake wamekuwa makatili sana assume yule wa mbeya aliyeua wanae wanne kwa sumu dah kweli mbinguni kuna watu watachomwa moto wawekewe na matairi juu na kupigwa mawe mpaka wachakae Wanawake wanawake kuna mahali mnamkosea Mungu na hiki kisingizio chenu cha 50%kwa 50% mnakitumia vibaya...
Back
Top Bottom