Binafsi naona kama Chadema imekanywagwa pabaya kwenye Kidonda, hivyo wameamua kupiga yowe baada ya kuguswa pasipo stahili wakati wanacheza VANGA la No nini No nini. Sasa wewe unajua dhahiri kuwa Katiba inatamka kila mtu anahaki ya KUCHAGUA na KUCHAGULIWA ilikuaje chama chao kifanye kampeni ya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja.
Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume hufanya baada ya Uboreshaji kukamilika na mwisho wa siku Daftari liliso na watu waliojirudia kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.